Historia ya Tanzania na Maadili [Darasa la Tatu]

Pata kitabu cha Historia ya Tanzania na Maadili kilichotengenezwa kwa ajili ya darasa la tatu katika shule ya msingi. Kitabu hiki kinafunza historia ya Tanzania na maadili muhimu kwa wanafunzi.